Imetengenezwa, Kukupa Uwezo wa Kuelewa na Kufanya Matangazo bila Kubahatisha
â–¶MUHIMU: TAZAMA HII VIDEO KWANZA
Nataka Nikupe Zawadi...
Siwezi Kukushawishi zaidi....
jinsi Ambavyo Hii ni FURSA yako Ya Kubadilisha Kabisa Maisha yako,
Ila nipende Kukuhakikishia Kuwa...
Hii ni FORMULA niliyoitengeneza kwa kukusanya Ujuzi wangu Wote
Kuanzia Kutengeneza TZS 0 Kwenye matangazo
Mpaka kutengeneza Mamilioni kwa wateja wangu..
ili kukufanya kuwa Mtu asiyebahatisha kabisa Kwenye Ufanyaji wa matangazo
▶Haijalishi kama hujawahi kupata hata shilingi moja mtandaoni…
â–¶Haijalishi Kama Hujawahi Kutumia Facebook na Instagram Kuuza Bidhaa/Huduma yako
â–¶Haijalishi kama unatumia Milioni kwa mwezi kwenye matangazo (tunaweza kukusaidia Kuongeza zaidi)!
â–¶Haijalishi kama wewe si mtaalamu wa Social Media marketing (mradi unaweza kubofya na kuchagua, basi tayari uko mbele kwenye game)!
Kiufupi Hata Kama Hujui Chochote kuhusu kuuza Bidhaa/Huduma zako Kwenye Facebook na instagram basi huu ndiyo Muda wako wa kbadilisha maisha yako kabisa...
Utapata Videos, PDFS, Tutorials, Mifumo n.k
,👉Jinsi Unavyoweza Kunasa Wateja wengi na kushinda washindani Bila Kulipia Mtangazo
👉 Jinsi ya Kumtengeneza Mteja wa Pekee Yako, Hapa Utapata mteja ambaye utamuuzia wewe tu hakuna mtu atampata zaidi yako
👉Siri Zinazotumia na 2% pekee ya wafanyabiashara wa Facebook na Instagram wenye mafanikio makubwa
👉SIRI 2 za Kujenga Wateja Wenye Nguvu ya Kukuletea Wateja Wengi, Ili Kuongeza mauzo na kupata wateja wasio na kona kona
👉SIRI za Kuendelea Kuwa Bora Mpaka Kesho Kwenye Biashara yako Mtandaoni, Siri Zinazotumiwa na manguli wa biashara Mtandaoni
👉 Mambo ya kuzingatia ili kuwa bora kwenye kusimamia matangazo, Bila haya Huwezi Kufanikiwa kabisa kwenye Matangazo
👉Jinsi ya Kufanya Matangazo Yasiyoweza Kukupa Madeni Kabisa kwa Bei Nafuu
👉Jinsi Ya Kufanya SETUP ya Tangazo Inayoleta Matokeo BORA, Kuwatafuta na Kuwapata Wateja Wasio na Kona kona (ASE MASTERY Formula)
👉Jinsi Mchakato wa MATANGAZO Unavyofanya kazi (SIRI za Kufanya Tangazo Bora zaidi)
👉Jinsi ya Kupima Matokeo ya Tangazo Bora na Baya (META ADS METRICS FOUNDATIONS)
👉 Hatua 8 Za Kuuza Bila Kupata Kipingamizi chochote Kutoka kwa Mteja Kwenye Simu
👉 Jinsi Ya Kuuza Kitu Chochote Kwa Mtu yeyote, Muda Wowote Bila Kipingamizi
👉 Formula Ya Kuuza Kwa Haraka Kwa Kila Mteja anayekutafuta Kwenye simu (PVC Framework)
👉Mbinu 3 za SIRI za Kuuza Kwa kila Mteja MPYA (3 Golden Skills)
👉 SILAHA 10 za Kukabiliana NA Wateja wenye Konakona (Objections Fired Out)
👉Njia za Kufuatilia mauzo yako kwa wateja bila kuonekana msumbufu ( COVA- Golden Follow Up Ways)
JUMLA: TZS 905,000/=
❓Vipi Isipoenda kunisaidia Kupata Matokeo Yoyote?...Naaam, Kama Umejipanga kutokupata matokeo Basi haiwezi kabisa Kukusaidia, Maana Umeshajipanga kutokupata Matokeo...Achana Nayo Kabisa
❓Hii Ni Maalumu kwa wanaoanza au Ambao ni Wataalamu Kabisa? Naam, hii Ni Kwa ajili yako ambaye hujui chochote, wewe unayejua lakini unataka kuongeza ujuzi zaidi na hata wewe Unayefanya na hupati matokeo mazuri, Hii ni ya kwako
❓Nikilipia sasa hivi nitaipataje? Utapewa Link maalumu za Kukufikisha katika madarasa yetu + Bonasi na utakuwa nayo MILELE hakuna Ukomo wa kujifunza
❓Kuna GUARANTEE? Ndiyo, Naku guarentee kuwa ukiendelea na njia unazo tumia sasa hivi utaendelea kuwa Hapo hapo, Unless kama unataka kujitoa hapo unahitaji hii SILAHA pekee
❓Unanihakikishia Vipi Matokeo? Usipopata Wateja Zaidi ya 400 kwa Siku 90 tu, Utarudishiwa gharama zako Zote, na Tutakusaidia BURE Miezi 3 Kufikia malengo yako.
Tovuti hii si sehemu ya tovuti ya Facebook™ au Facebook™ Inc. Vilevile, tovuti hii HAIDHAMINIWI na Facebook™ kwa namna yoyote. FACEBOOK™ ni alama ya biashara ya FACEBOOK™, Inc.